Ruka hadi maudhui
SAVIORINVENTORY SYSTEM

Sera ya faragha

Imesasishwa: Novemba 2026

Taarifa tunazokusanya

Jina lako, namba ya simu, barua pepe (ukiiweka), jina la biashara, na rekodi unazoweka: bidhaa, mauzo, matumizi, stoku na wafanyakazi.

Tunavyozitumia

Kukupa huduma ya SAVIOR: kuhifadhi rekodi zako, kutengeneza ripoti, kukutumia taarifa na kumbusho, na kukutumia nambari ya siri ukisahau nenosiri.

Nani anaziona

Wewe na wafanyakazi uliowaruhusu tu. Hatuuzi taarifa zako. Watoa huduma wa SMS, barua pepe na malipo wanapata taarifa ndogo tu zinazohitajika kufanya kazi yao.

Usalama

Nenosiri linahifadhiwa kwa njia fiche, taarifa za kila biashara zimetengwa, na tunatengeneza nakala za akiba (backup).

Haki zako

Unaweza kuomba kuona, kusahihisha au kufuta taarifa zako kwa kuwasiliana nasi.

Anza bureIngia