Mwezi 1
TZS50,000kwa mwezi
Anza bureKifurushi kimoja chenye huduma zote. Chagua muda unaokufaa.
Chagua kifurushi kwenye programu. Unapokea ombi la malipo kwenye simu, unaweka PIN, na kifurushi kinawashwa papo hapo.
Pata namba ya malipo, kisha ulipe kupitia M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au CRDB.
Taarifa zako hazifutwi. Bado unaweza kuziangalia, ila huwezi kuongeza rekodi mpya mpaka ulipie tena.
Unajisajili na kupata siku 14 za kutumia huduma zote bure. Hakuna malipo yanayokatwa yenyewe. Ukipenda, unalipia kifurushi.
Kwa pesa za simu: ombi la malipo kwenye simu yako, au namba ya malipo (control number) unayolipa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au CRDB. Kifurushi kinawashwa malipo yakifika.
Taarifa zako zinabaki salama na unaweza kuziangalia. Huwezi kuongeza mauzo au matumizi mapya mpaka ulipie tena. Tunakukumbusha siku 7, 3 na 1 kabla.
Jaribu SAVIOR bure kwa siku 14. Ukihitaji msaada wa kuanza, tupigie au tuandikie WhatsApp.